LATEST ARTICLES

Fid Q atisha, aanza mwaka 2019 kwa matukio makubwa mawili

 Bethsheba Wambura, Dar es Salaam Msanii wa Hip hop, Fareed Kubanda maarufu Fid Q ameuanza mwaka 2019 kitofauti baada...

Wachezaji waondoleeni fedheha makocha wenu

ILE tabia iliyozoeleka hapa nchini kwa timu za soka kutimua ovyo makocha wao, inaendelea kuota mizizi kiasi cha kutia mashaka. Idadi kubwa ya...

Makocha wamiminika kuomba kazi KMC

NA JESSCA NANGAWE MWENYEKITI wa timu ya Manispaa ya Kinondoni KMC, Benjamin Sitta amesema mpaka sasa wameshapokea maombi...

Jonas Mkude ajiengua Stars

NA JESSCA NANGAWE KIUNGO wa Simba wa Taifa Stars Jonas Mkude amejiengua katika kikosi cha timu hiyo ili kujipa...

Samatta amwongezea mzuka Nchimbi

NA JESSCA NANGAWE KITENDO cha nahodha wa timu ya Taifa Taifa Stars kuzidi kufanya vyema akiwa na timu yake...

Shime aahidi ubingwa wa Cecafa

KOCHA wa timu ya taifa ya Wanawake ya Tanzania, Bakari Shime, amewaomba watanzania wote kujitokeza nakuisapoti timu hiyo kwenye michuano ya CECAFA.

Mkude ajiengua Stars

NA TIMA SIKILO KIUNGO Jonas Mkude,  ameondolewa kwenye kikosi cha timu Taifa ya Tanzania Taifa Stars kutokana na matatizo ya kifamilia.

Kipa Mtanzania ang’ara ‘Mashemeji Derby’

NA ISIJI DOMINIC KIPA raia wa Tanzania, David Kisu Mapigano, alionyesha kiwango kizuri na...

Gigy Money ajisogeza kwa Wizkid

NA JESSCA NANGAWE WAKATI staa wa Nigeria Wizkid akiwa mmoja wa wasanii walioalikwa kwenye tamasha la Wasafi Festival,...

A$AP Rocky kufanya shoo alikoshikiliwa mahabusu

LOS ANGELES, Marekani IKIWA ni miezi minne tangu alipokamatwa na kuwa chini ya jeshi la polisi kwa takribani mwezi...

Kanye amkataa Rais Trump Uchaguzi Mkuu mwakani

LOS ANGELES, Marekani RAPA Kanye West anayeendelea kufanya vizuri na albamu yake ya gospo, ‘Jesus Is King’, amesema raia...