Home Michezo Kimataifa AFYA YA GOTZE BADO KITENDAWILI

AFYA YA GOTZE BADO KITENDAWILI

236
0
SHARE

MUNICH, Ujerumani

KIUNGO wa Borussia Dortmund, Mario Gotze, ataendelea kuwa nje kutokana na vipimo kuonyesha ana majeraha ya misuli.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 24 hajacheza tangu Januari 29 mwaka huu, aliondolewa mazoezini na haijajulikana atarejea lini uwanjani.

Gotze alirejea Dortmund majira ya kiangazi yaliyopita akitokea Bayern Munich alikokaa kwa misimu mitatu na msimu huu amecheza mechi 11 pekee za Bundesliga.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here