SHARE

LONDON, England

KIUNGO Danny Drinkwater atarejea Chelsea mwezi huu baada ya kucheza mechi mbili tu akiwa kwa mkopo Burnley.

Drinkwater amecheza mechi moja ya Ligi Kuu akiwa na Burnley, siku waliyotandikwa mabao 4-1 na Manchester City, na nyingine ni ile ya Kombe la Ligi, walipofungwa 3-1 na Sunderland.

Mambo yamekwenda kombo kwa mido huyo mwenye umri wa miaka 29, tofauti na alichokisema wakati anakwenda Burnley, kwamba angerejesha makali yake.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here