Home Dondoo za Ulaya ARSENAL WATETA NA MAN CITY KUHUSU SANCHEZ

ARSENAL WATETA NA MAN CITY KUHUSU SANCHEZ

438
0
SHARE

TETESI zimeibuka kuwa klabu mbili za Arsenal na Manchester City zinafikiria kufanya biashara ya mabadilishano yatakayowahusisha washambuliaji Alexis Sanchez, 28 na Muargentina, Sergio Aguero, 29, mtandao wa Daily Star umeripoti.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here