Home Dondoo za Ulaya ARSENAL YAPEWA MCHONGO MPYA WA BENZEMA

ARSENAL YAPEWA MCHONGO MPYA WA BENZEMA

485
0
SHARE

ARSENAL wako kwenye nafasi nzuri ya kuipata saini ya straika wa Real Madrid, Karim Benzema, mwishoni mwa msimu huu.
Taarifa hii imekuja baada ya Madrid kuanza mawindo ya saini za nyota wawili, Antoine Griezmann na Paulo Dybala.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here