Dimba
MARC BOSMAN NA FLORENTINO PEREZ
NA NIHZRATH NTANI JNR
KUNA wanadamu wamezaliwa kuja kuwa mashujaa. Hili haliwezi kupingika. Wakati fulani unaweza kufanya jambo kwa maslahi yako, lakini likaja kuwa jambo...
MBADALA WA NEYMAR NI HAZARD WALA SI DEMBELE AU COUTINHO
NA EZEKIEL TENDWA
SIKU zote binadamu anashauriwa kutokufanya uamuzi wowote akiwa na hasira nyingi, au akiwa mwenye furaha iliyopitiliza, kwani anaweza kujilaumu baada ya maamuzi...
DUH! HII REKODI YA HARRY KANE, KIBOKO
LONDON, England
PAMOJA na ukali wake wa kucheka na nyavu, kila unapofika mwezi wa nane, straika Harry Kane ni nyoka wa kibisa. Hana madhara kabisa!
Mkali...
NANI MKALI LIVERPOOL? MANE AU COUTINHO
MERSEYSIDE, Liverpool
HAKUNA ubishi, katika kipindi cha hivi karibuni mchezaji ambaye mashabiki wa Liverpool wanampenda sana ni kiungo wao Mbrazil, Philippe Coutinho.
Ni kwa sababu moja...
JE, MAYWEATHER ATARUDI TENA ULINGONI?
LAS VEGAS, Marekani
KABLA ya kupanda ulingoni kupambana na Conor McGregor, Floyd ‘Money’ Mayweather, alitangaza hadharani kuwa hatapigana tena baada ya pambano hilo kumalizika.
Siku ikafika...
NI SAHIHI TFF KUENDELEA NA UTARATIBU WA PANGUAPANGUA RATIBA YA LIGI...
LIGI Kuu Bara imeanza kutimua Jumamosi wiki iliyopita, huku timu 16 zinazoshiriki michuano hiyo zikitupa karata zao za kwanza kwenye michuano hiyo.
Mabingwa watetezi wa...
KING KIKI, KAKERE WAMLIZA HUSSEIN JUMBE
NA MWANDISHI WETU
MWANAMUZIKI nguli wa muziki wa dansi nchini, Hussein Jumbe, juzi alijikuta akimwaga machozi ya furaha wakati wa mazoezi ya pamoja na mastaa...
AUNT EZEKIEL AMVULIA KOFIA WEMA
NA JESSCA NANGAWE
BAADA ya mwishoni mwa juma staa wa filamu, Wema Sepetu kuzindua filamu yake mpya ya ‘Heaven Sent’, mwigizaji mwenzake, Aunt Ezekiel, amefunguka...
SIMBA KUSHUKA DIMBANI KESHO
NA MAREGES NYAMAKA
MNYAMA hataki kulaza damu, baada ya ligi kusimama kwa muda ili kupisha mechi ya timu ya taifa 'Taifa Stars' mwishoni mwa wiki...
MBAO WAPATA UDHAMINI MNONO
NA MAREGES NYAMAKA
SIKU chache baada timu ya Stand United kupata udhamini wa Sh milioni100, majirani zao Mbao FC pia wamepata bonge la udhamini wa...