Home Authors Posts by Dimba

Dimba

1983 POSTS 0 COMMENTS

PONDAMALI, PAZI WAMLILIA KIPA WA HARAMBEE STARS

NA JESSCA NANGAWE KIPA wa zamani wa Timu ya Taifa, Juma Pondamali, amesikitishwa na taarifa za kifo cha kipa mwenzake kutoka Harambee Stars, Mahmoud Mohamed...

HATIMA YA CHIRWA, KASEKE KUJULIKANA KESHO

NA SALMA MPELI KAMATI ya Sheria, Katiba na Hadhi za Wachezaji inatarajiwa kukutana leo kwa ajili ya kupitia masuala mbalimbali, ikiwemo kesi inayowakabili wachezaji, Deus...

SAMATTA ATUA STARS, MSUVA KUWASILI LEO USIKU

NA SALMA MPELI NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, amewasili alfajiri ya jana na kujiunga na wenzake katika kikosi cha timu hiyo kilichoingia kambini tangu...

CANAVARO AMPA MBINU TSHISHIMBI

NA JESSCA NANGAWE BEKI wa Yanga, Nadir Haroub ‘Canavaro’, amempa mbinu kiungo mpya wa Yanga, Pappy Tshishimbi na kumtaka kutotishwa na wanaompania kwenye ligi kuu...

OKWI ABEBESHWA MABOMU YA KUIUA MISRI

NA EZEKIEL TENDWA BAADA ya kufunga mabao manne katika ushindi wa mabao 7-0, Simba walioupata dhidi ya Ruvu Shooting, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara,...

FOMESHENI MPYA YA MAUAJI SIMBA HII HAPA

NA EZEKIEL TENDWA AZAM FC wanatakiwa kujipanga sawasawa kukabiliana na safu kali ya ushambuliaji ya Simba, kwani yule Mghana Nicholas Gyan, huku pia John Bocco...

BUSWITA AANIKA KILICHOMSAINISHA SIMBA, YANGA

NA CLARA ALPHONCE SIKU chache baada ya kupigwa umeme wa mwaka mmoja kukaa nje ya soka kutokana na kudaiwa kusaini katika timu mbili tofauti, kiungo...

MO JEURI NYINGINE MSIMBAZI

NA EZEKIEL TENDWA KAMA ulidhani baada ya Mohamed Dewji ‘Mo’ kuwasajili wachezaji wenye viwango vya juu ambao wanauwasha moto kisawasawa katika klabu ya Simba atakuwa...

TSHISHIMBI AISHI KIFALME DAR

NA CLARA ALPHONCE KIUNGO mpya wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo -DRC, ni kama mfalme ndani ya kikosi cha...

KAULI YAKO INAWEZA KUGHARIMU PENZI LAKO

  KUKOSEA katika uhusiano ni kawaida kabisa, naweza kusema ni sehemu ya maisha, lakini pia ni vizuri kuhakikisha kuwa unakuwa makini ili usikosee kila wakati. Hata...