Home Authors Posts by Dimba

Dimba

1983 POSTS 0 COMMENTS

MAAJABU YA ASALI NA MDALASINI-2

Na Grace Shitundu Wiki hii katika kona hii ya Afya, tunaendelea kuangalia maajabu ya asali na mdalasini. Asali husaidia kuirudisha ngozi iliyoharibiwa na wadudu kama dondola...

ADEBAYOR: NIMEITWA TOGO KWA SABABU MAALUMU

LOME, Togo NAHODHA wa timu ya Taifa ya Togo, Emmanuel Adebayor, amesema ameitwa kwenye kikosi hicho kwa sababu maalumu ikiwemo kuhakikisha timu hiyo inapata mafanikio. Adebayor...

ATAKAYEPIGWA ANFIELD APAMBANE NA HALI YAKE

LONDON, England JIONI ya leo, klabu ya Liverpool itavaana na Arsenal katika mtanange wa Premier League utakaopigwa kwenye dimba la Anfield, ambapo miamba hao wanatarajiwa...

DIAMOND, KING KIBA WAKUMBUSHA YA TUPAC, NOTORIOUS B.I .G

NA MWANDISHI WETU BIFU ni msemo maarufu sana wenye maana ya chuki iliyozidi kipimo. Hiyo ni maana ya haraka haraka lakini inayogusa pande zote za maisha...

BAHATI MBAYA TSHISHIMBI KAMKUTA MAGUFULI, IKULU

ILIWAHI kumtokea Fally Ipupa. Mshahara wa mwaka wa mwandishi wa habari wa Tanzania, aliupata ndani ya dakika moja tu, akiwa juu ya jukwaa hapa...

ROOONEY: UAMUZI SAHIHI KWAKE NA KWETU PIA

NDIO Wayne Rooney angeweza kusubiri kidogo Gareth Southgate alisharudisha imani juu yake, angemuita tena kikosini. Angeweza kusubiri kuivunja na rekodi ya Peter Shilton kwa kucheza...

EMMANUEL OKWI MATAJI MBONA YANAKUJA SIMBA TU!

NA MARTIN MAZUGWA UNAPOTAJA majina ya wachezaji waliojijengea jina kubwa kwa mashabiki wa Simba miaka ya hivi karibuni, huwezi kulikosa jina la straika Mganda Emmanuel...

SHAPOVALOV AFUZU KUSHIRIKI US OPEN

MONTREAL, Canada MKALI wa tenisi kutoka Canada, Denis Shapovalov, ameteka vichwa vya habari mara baada ya kufuzu kucheza  mashindano ya US Open kwa kupata ushindi...

NYIMBO MPYA YA SWIFT GUMZO

Pennsylvania, Marekani NYOTA wa muziki nchini Marekani, Taylor Alison Swift, amekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii  nchini humo mara baada ya kuachia kibao kipya kinachokwenda...

HAMILTON TISHIO BELGIAN GP

BRUSSELS, Ubelgiji BINGWA mara tatu wa mbio za magari wa Kampuni ya Mercedes, Lewis Hamilton, ameendelea kutamba kwa kuwabwaga mahasimu wake katika maandalizi ya mashindano...