Home Authors Posts by Dimba

Dimba

1335 POSTS 0 COMMENTS

Ray Kigosi aanika kipaji cha Jayden

NA JESSCA NANGAWE STAA wa Bongomovie, Ray Kigosi, ametaja siri za mtoto wake kuwa ni mwenye vipaji vya...

Stars watakuwa Misri na Serengeti Boys Brazil

NA EZEKIEL TENDWA BAADA ya timu ya Taifa ya Tanzania’Taifa Stars’, kufungwa bao 1-0 na Lesotho, wengi waliamini...

Darasa na ngoma mpya wana siri kubwa

NA JESSCA NANGAWE MSANII wa Bongofleva, Shafir Thabeet, maarufu Darasa, amesema ngoma yake mpya inayojulikana kwa jina la...

Rose Ree aanika sababu ya kutokuwa na lebo

NA JESSCA NANGAWE RAPA wa kike, Rose Ree, amefunguka sababu za kutokuwa na lebo mpaka sasa na kudai...

KOCHA MAZEMBE AFUMUA KIKOSI CHA SIMBA

NA JESSCA NANGAWE BAADA ya klabu ya Simba kuondolewa katika harakati za ushiriki wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha...

AJIB AWATIA PRESHA MTIBWA

NA EZEKIEL TENDWA NAHODHA wa Yanga, Ibrahim Ajib ambaye alikosa michezo minne kutokana na majeraha yaliyokuwa yakimwandama, leo anatarajiwa...

KAGERE, MAKAMBO USO KWA USO

NA EZEKIEL TENDWA VITA ni vita Mura. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kutokana na mbio za kufukuzia ufungaji bora zinavyozidi...

Messi aongoza mauaji Man U, Ajax wazima ndoto za Ronaldo

CATALUNYA, Hispania LIONEL Messi alikua katika ubora wake wakati Cristiano Ronaldo akishindwa kufurukuta hivyo kuwanyima mashabiki ndoto ya kushuhudia...

SERENGETI YATANGAZA KIAMA KWA UGANDA

NA JESSCA NANGAWE LAZIMA tushinde leo. Ndivyo unavyoweza kusema wakati kikosi cha Serengeti Boys kitakapowakabili Uganda katika mchezo wa...

MECHI 7 ZA KIUMENI SIMBA SC HIZI HAPA

NA SAADA SALIM SIMBA wakabiliwa na kazi ngumu ya kucheza michezo saba ugenini ndani ya siku 18, ukiwamo wa...