Home Habari AZAM: HATUNG’OKI HADI UBINGWA

AZAM: HATUNG’OKI HADI UBINGWA

3760
0
SHARE

NA JESSCA NANGAWE


SI unajua kwamba Azam FC, ndio wapo kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara? Sasa wenyewe wameibuka na kudai watapang’ang’ania hapo juu mpaka Ligi inamalizika.

Kocha Mkuu wa kikosi hicho, Hans Van der Pluijim, amesema kitendo cha kuendelea kushikilia usukani kwenye msimamo wa ligi kinawafanya kuwa na maadui wengi ambao nao wanataka kiti hicho, lakini watapigania nafasi yao.

Azam bado inakamata nafasi ya kwanza ikiwa imejikusanyia pointi zake 30, huku ikiwaacha vigogo wa soka, Simba na Yanga wakipigania nafasi ya pili na ya tatu baada ya kufungana kwa pointi 26 kila mmoja, zikipishana idadi ya mabao ya kufunga na kufungwa.

Kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya gazeti la DIMBA.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here