Home Dondoo za Ulaya BALE AKUBALI KUTUA OLD TRAFFORD

BALE AKUBALI KUTUA OLD TRAFFORD

436
0
SHARE

STRAIKA wa Real Madrid, Gareth Bale, amekubali kujiunga na klabu ya Manchester, lakini akatoa sharti moja tu kwamba, atafanya hivyo iwapo timu hiyo itafanikiwa kufuzu kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya.

Kwa hali ilivyo hivi sasa, raia wa klabu yake ya Real Madrid, Florentino Perez, hafurahishwi na kiwango cha sasa cha mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here