Home Burudani Ben Pol uso kwa uso na T.I

Ben Pol uso kwa uso na T.I

0
SHARE

NA JESSCA NANGAWE

MKALI wa R&B Bernand Pol maarufu kama Ben Pol yupo nchini Marekani na safari hii ameweza kukutana uso kwa uso na mkali wa Hip Pop nchini humo mwanamuziki TI.

Akiwa nchini humo msanii huyo ameweza kutembelea sehemu ambayo mastaa hupewa heshima kutokana na mchango wao mkubwa kwenye tasnia ya burudani .

Tafsiri ya Ben Pol kuonekana na nyota huyo huenda kuna mambo mazuri yanakuja kati yao na hii imeonyesha jinsi muziki wa Afrika Mashariki unavyozidi kukua.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here