SHARE

NA JESCA NANGAWE

KWA sasa idadi kubwa ya mashabiki wa Simba, wameacha kufikiria habari za straika wao Emmanuel Okwi, na badala yake Mzambia Walter Bwalya ndiye anayejadiliwa kila kona.

Taarifa kutoka Simba zinadai kuwa, hakuna uwezekano wa kumpa mkataba mpya Okwi kwani ameshapata timu nyingine Uarabuni sasa nguvu kubwa imehamishiwa kwa Bwalya.

Okwi amejizolea mashabiki wengi kutokana na kazi kubwa …

Kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya DIMBA.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here