SHARE
NA CLARA ALPHONCE

SIMBA au klabu nyingine yoyote kikanuni inaweza kufanya mazungumzo na Obrey Chirwa na kuandikishana naye wakati wakisubiri msimu umalizike, kwani hali ngumu ndani ya Yanga imeifanya klabu hiyo kushindwa kuwapiga pingu mastaa wake wakubwa, jambo ambalo huenda likawaacha huru baadhi ya nyota wake kuchagua timu ya kujiunga nazo punde msimu utakapomalizika.

Lakini Chirwa mwenyewe ni kama vile hapendi hilo litokee na ameipa klabu yake hiyo nafasi ya mwisho na kutoa msimamo wake, kwamba anaweza kuendelea kubaki ikiwa watakubaliana.

Chirwa ametoa msimamo huo hivi karibuni baada ya mazungumzo ya saa kadhaa na viongozi wa mabingwa hao kwa ajili ya …

Kwa habari zaidi jipatie nakala ya gazeti la DIMBA.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here