Home Burudani ‘DARASA’: MUZIKI NA MAISHA’ ITANITOA ROHO

‘DARASA’: MUZIKI NA MAISHA’ ITANITOA ROHO

893
0
SHARE

NA KYALAA SEHEYE


MWANAMUZIKI aliyemaliza mwaka 2016 kwa kishindo, Ramadhan Sharif ‘Darasa’, amesema sasa ni wakati wake lazima watu wakubali kipaji chake badala ya kumuundia magenge ya kummaliza kisanii.

Darasa ameliambia DIMBA Jumatano kwamba, anashangaa kwanini baadhi ya wanamuziki wenzake wamekuwa wakimuundia genge la kutaka kummaliza wakati yeye hana bifu na mtu na hajui.

Alisema kutamba kwa ngoma yake inayoitwa ‘Muziki na Maisha’ kumemuibulia uhasama ambao umemjengea hofu kuwa ipo siku atadhurika.

“Wananiuliza kwanini ngoma ya Maisha na Muziki umekuwa wimbo wa taifa, swali gumu sana kwangu labda wangewauliza mashabiki ndio wanaojua kwanini,” alisema Darasa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here