SHARE

NA BEATRICE KAIZA

MSANII wa Singeli Dulla Makabila amesema kuwa anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na mpenzi wake anayejulikana kwa jila ya ëFia Makabilaí kwani ndio chaguo lake la moyo.

Akizungumza na DIMBA,Dulla, alisema, ndoa ni kitu kitakatifu na kwa sasa ni wakati wake wa kuishi maisha ya kumpendeza Mungu.

Natarajia kufunga ndoa hivi karibuni na mpenzi wangu kwani nataka kuishi maisha ya kumpendeza Mungu na Fia Makabila pia ndio chaguo la moyo wangu nampenda sana siko tayari kumpoteza ,íí alisema Dulla Makabila.

Msanii huyo aliongezea kuwa yeye ndio atakuwa msanii wa kwanza wa singeli kufunga ndoa takatifu na kuishi maisha ya raha na mpenzi

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here