SHARE

NA GLORY MLAY

MSANII wa filamu nchini Salim Ahmed aka ‘Gabo Zigamba’ amesema bado anaota ndoto za uwezekano wa kuzibwa kwa pengo la aliyekuwa nyota wa filamu nchini marehemu Steven Kanumba.

Gabo anayefanya vizuri na filamu mbalimbali ikiwamo ëSafari ya Gwaluí amesema wasanii wa filamu wakiwa na juhudi wanaweza kuziba nafasi yake Kanumba na kufuta kile kinachoelezwa kwamba imeshindikana kupata mtu wa kuvaa viatu vyake.

ìPengo la marehemu Kanumba litazibika tu ingawa najua tobo la panya huwezi kuziba na mkate ila tutajitahidi kuziba, nnawashauri watu wawe na nidhamu ya sanaa lakini pia wasikate tamaa katika mambo wanayofanya,î alisema.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here