SHARE

NA JESSCA NANGAWE

MSANII wa Bongomovie Gabo Zigamba amekiri kuwa mwanadada Hamisa Mobetto ana kipaji hivyo si wakati wake wa kulaza damu.

Hamisa ambaye ameendelea kufanya vyema kwenye muziki na hata mitindo amezidi kujiongezea mashabiki kila kukicha.

Akizungumza na DIMBA,Gabo alisema, akipata nafasi ya kumshauri mrembo huyo basi atatamani kumwambia ajipanue zaidi kwa kufanya kazi kimataifa na atambue ana vipaji vingi.

‘Hamisa namuona ni mtu ambaye anajua kujipanga..anafanya mambo yake kisomi..natamani kumshauri tayari ana jina kubwa tu hapa kwetu..avuke mipaka sasa’alisema Gabo.

Aidha Gabo alimpongeza pia kwa uwezo wake wa kujua kuigiza na pia kuimba huku akitumia vyema uzuri wake kujipatia kipato kupitia sanaa aliyonayo.

Hamisa namuona ni mtu ambaye anajua kujipanga..anafanya mambo yake kisomi..natamani kumshauri tayari ana jina kubwa tu hapa kwetu..avuke mipaka sasa’alisema Gabo.

Aidha Gabo alimpongeza pia kwa uwezo wake wa kujua kuigiza na pia kuimba huku akitumia vyema uzuri wake kujipatia kipato kupitia sanaa aliyonayo.

kizungumza na DIMBA,Gabo alisema, akipata nafasi ya kumshauri mrembo huyo basi atatamani kumwambia ajipanue zaidi kwa kufanya kazi kimataifa na atambue ana vipaji vingi.

‘Hamisa namuona ni mtu ambaye anajua kujipanga..anafanya mambo yake kisomi..natamani kumshauri tayari ana jina kubwa tu hapa kwetu..avuke mipaka sasa’alisema Gabo.

Aidha Gabo alimpongeza pia kwa uwezo wake wa kujua kuigiza na pia kuimba huku akitumia vyema uzuri wake kujipatia kipato kupitia sanaa aliyonayo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here