Home Dondoo za Ulaya GRIEZMANN ATAKIWA MAN CITY

GRIEZMANN ATAKIWA MAN CITY

338
0
SHARE

KOCHA wa klabu ya Manchester City, Pep Guardiola, amemuorodhesha mshambuliaji wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann, 26, katika orodha yake ya wachezaji anaowataka kwa ajili ya msimu ujao.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here