Home Dondoo za Ulaya GUARDIOLA AITIBULIA BARCELONA

GUARDIOLA AITIBULIA BARCELONA

941
0
SHARE

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, ameonyesha nia ya kuihitaji saini ya kiungo wa Borussia Dortmund, Julian Weigl.

Uamuzi huu wa Pep, unaweza kuwatibulia mabosi wake wa zamani, klabu ya Barcelona, ambao walikuwa kwenye mipango ya kumsaka kiungo huyo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here