SHARE

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, amegoma kufuta uvumi wa kuihitaji saini ya straika wa Arsenal, Alexis Sanchez.

Guardiola anatajwa kutenga fungu la pauni mil 50 kwa ajili ya Sanchez, ili kuziba pengo la Gabriel Jesus aliyepata majeraha ya goti kwenye pambano dhidi ya Crystal Palace.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here