SHARE

BAADA ya kukamilisha usajili wa Bernado Silva kutoka Monaco ya Ufaransa, Klabu ya Manchester City imesisitiza kuwa bado wataendelea kufanya usajili kwa kishindo zaidi.

Taarifa zinaonyesha kuwa, City wameanza mazungumzo na beki wa kulia wa Tottenham, Kyle Walker (26), pamoja na kisiki wa Monaco, Benjamin Mendy (22).

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here