Home Habari HAO WAARABU, MBONA WANAPIGWA

HAO WAARABU, MBONA WANAPIGWA

5123
0
SHARE

JUMA KASESA NA SAADA SALIM


HAKUNA jingine ambalo Simba inapaswa kufanya leo zaidi ya ushindi, pale watakaposhuka dimbani kuvaana na timu ya Al Masry ya Misri, katika mechi ya kwanza ya mzunguko wa kwanza wa michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.

Simba leo ina kibarua kizito cha kuvaana na Waarabu hao, katika mechi hiyo itakayopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kuanzia saa 12:00 jioni.

Mechi hiyo inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka kote nchini, kutokana na jinsi timu zote mbili zilivyo imara.

Aidha, mashabiki wa Simba wamekuwa na hamu kubwa ya kutaka kuiona timu yao inavyorejea kwa …

Kwa habari zaidi soma nakala ya gazeti la DIMBA.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here