Home Burudani Harmonize afunguka kumkosa Wizkid

Harmonize afunguka kumkosa Wizkid

1654
0
SHARE

NA JESSCA NANGAWE

NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Rajab Kahal ‘Harmonize’, amesema kushindwa kwa staa wa Nigeria, Wizkid, kuingiza mashairi kwenye ngoma yake mpya kumetokana na kutingwa na majukumu aliyokuwanayo.

Ngoma hiyo inayokwenda kwa jina la

‘Kainama, imenogeshwa sauti na nyota Burnaboy ambapo imeanza kufanya vyema sokoni.

Akizungumza na DIMBA Jumatano, Harmonize amesema awali Wizkid alitakiwa kuingiza baadhi ya mashairi lakini alibanwa na majukumu na nafasi yake kuzibwa na Burna boy.

“Ni wimbo ambao awali alitakiwa kuwepo Wizkid, lakini tulimwelewa baada ya kubanwa na majukumu.. nashukuru nafasi yake kaicheza vyema Burna boy,” alisema Harmonize.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here