Home Habari HAT TRICK YAMPANDISHA MZUKA KOCHA ZAHERA

HAT TRICK YAMPANDISHA MZUKA KOCHA ZAHERA

1220
0
SHARE

MAREGES NYAMAKA NA TIMA SIKILO

KITENDO cha kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera, kutwaa tuzo tatu za kocha bora wa mwezi ndani ya miezi mitatu tofauti msimu huu ambayo wadau wa soka wanaifananisha na hat-trick, kimempandisha mzuka raia huyo wa Congo.

Ijumaa ya wiki hii, Zahera alitangazwa na Shirikisho la Soka nchini (TFF) kuibuka mshindi wa tuzo bora ya mwezi Desemba mwaka jana akiwashinda Samuel Moja wa Lipuli pamoja na Mecky Mexime (Kagera Sugar).

Ilikuwa ni tuzo ya tatu kwa Mcongo huyo baada ya kufanya hivyo Novemba pamoja na Septemba na kumfanya kuwa …

Kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya gazeti la DIMBA.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here