Home Dondoo za Ulaya INTER YAITEGA MAN UNITED KWA KISIKI CHA ROMA

INTER YAITEGA MAN UNITED KWA KISIKI CHA ROMA

406
1
SHARE

MABOSI wa Inter Milan wameingia kwenye vita na Manchester United katika kuiwania saini ya beki wa AS Roma, Kostas Manolas.

Inter wanaamini wana nafasi nzuri ya kuishinda United kwa kumnasa Manolas baada ya Jose Mourinho kusema kuwa hana mpango wa kuongeza beki mpya katika kikosi chake.

 

1 COMMENT

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here