Home Dondoo za Ulaya JUVE YAPIGA HODI KWA BELLERIN

JUVE YAPIGA HODI KWA BELLERIN

607
0
SHARE

JUVENTUS wametuma wawakilishi wake kuzungumza na beki wa kulia wa Arsenal, Hector Bellerin.

Bellerin, pia yuko kwenye mipango ya muda mrefu ya klabu ya Barcelona, hivyo Juventus wanaweza kukutana na ugumu katika zoezi la kuinasa saini yake.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here