SHARE

JUVETUS wametuma ofa ya pauni mil 25 kwa ajili ya kuinasa saini ya nyota wa Arsenal, Alexis Sanchez, aliyegoma kuongeza mkataba mpya mpaka sasa.

Sanchez ni miongoni mwa wachezaji wanaotajwa kutaka kufanya kazi na Wenger, hivyo kama kocha huyo ataondoka na yeye hatakuwa na sababu ya kubaki Emirates.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here