Home Dondoo za Ulaya KISA MAN U, WENGER AMWEKA SOKONI DEBUCHY

KISA MAN U, WENGER AMWEKA SOKONI DEBUCHY

778
0
SHARE

ARSENAL inaweza kumuuza Mathieu Debuchy, 31, mwezi huu baada ya beki huyo wa Ufaransa kumkasirisha bosi wa The Gunners, Arsene Wenger, kwa kudai kuwa alikataliwa kuhamia Manchester United mwaka jana.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here