Home Dondoo za Ulaya KLOPP AMNYATIA FUNDI WA LEIPZIG

KLOPP AMNYATIA FUNDI WA LEIPZIG

497
0
SHARE

JURGEN Klopp amepanga kurudi tena katika Bundesliga kwa ajili ya kuiwania saini ya nyota wa timu ngumu msimu huu nchini Ujerumani, RB Leipzig, kiungo Emil Forsberg.

Fundi huyo wa mpira ameshafunga mabao matano na kutoa asisti 3 msimu huu, hivyo kumfanya Klopp aamini ni chaguo sahihi kwa Liverpool katika mbio zake za kuwania taji la EPL.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here