Home Dondoo za Ulaya KLOPP AMUOMBEA MSAMAHA COUTINHO KWA MASHABIKI

KLOPP AMUOMBEA MSAMAHA COUTINHO KWA MASHABIKI

402
0
SHARE

JURGEN Klopp anaamini mashabiki wa Liverpool watamsamehe Philippe Coutinho kwa kitendo chake cha kulazimisha kuondoka klabuni hapo, wakati usajili ulipokuwa ukiendelea.

Kocha huyo amesisitiza kuwa, bado anajua mashabiki wa Liver wanajua umuhimu wa Coutinho na watakuwa tayari kumuunga mkono.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here