SHARE

STRAIKA wa Lyon, Alexandre Lacazette (25), amethibitisha kuwa huu ni msimu wake wa mwisho kuichezea klabu hiyo.

Taarifa zinadai kuwa Lacazette anaweza kujiunga na Atletico Madrid kwa ajili ya kuziba pengo la Antoine Griezmann, (26), anayetajwa kutaka kujiunga na Man United.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here