Home Dondoo za Ulaya LEWANDOWSKI AHOJI MATUMIZI BAYERN, ATULIZWA

LEWANDOWSKI AHOJI MATUMIZI BAYERN, ATULIZWA

471
0
SHARE

STRAIKA Robert Lewandowski ameingia kwenye vita ya maneno na Mkurugenzi wa Bayern Munich, Karl-Heinz Rummenigge, baada ya kuhoji juu ya sera ya usajili ya klabu hiyo.
Lewandowski alikaririwa akishangaa ni vipi Bayern inashindwa kutikisa soko la usajili kama klabu nyingine kubwa barani Ulaya, kitendo kilichopondwa na Rummenigge, akimtaka acheze mpira na kuacha maneno.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here