Home Dondoo za Ulaya MADRID SIJUI WAMEMPA NINI ASENSIO?

MADRID SIJUI WAMEMPA NINI ASENSIO?

1171
0
SHARE

KINDA wa Real Madrid, Marco Asensio, amesisitiza kuwa, hana mpango wa kuondoka Real Madrid na kujiunga na Barcelona au PSG.
Asensio alijiunga Madrid, Novemba 2014, akitokea Mallorca, ameibuka kuwa nyota wa kuogopwa zaidi katika kikosi cha mabingwa hao wa Ulaya.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here