SHARE

MANCHESTER United watakuwa kwenye hatari ya kumpoteza kinda wao, Marcus Rashford, kama Madrid watashindwa kumpata Kane.

Madrid wamemfanya Rashford kuwa chaguo lao la pili endapo Tottenham watagoma kumuuza Kane kwa pauni mil 150.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here