Home Dondoo za Ulaya MADRID YAMNASA NEYMAR MPYA

MADRID YAMNASA NEYMAR MPYA

356
0
SHARE

KLABU ya Real Madrid imezipiku Arsenal, Barcelona na Chelsea na nyingine kibao barani Ulaya katika kuimendea saini ya kinda mpya wa soka kutoka nchini Brazil anayefananishwa na Neymar.

Kwa mujibu wa mtandao wa Talksport, kinda huyo mwenye umri wa miaka 16 hivi sasa ambaye jina lake ni Vinicius Junio au ‘New Neymar,’ amekubali kung’oka katika klabu yake ya Flamengo ya Brazil na kutua Hispania kwa dau la pauni milioni 38.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here