Home Dondoo za Ulaya MADRID YAPANGA KUIBOMOA CHELSEA

MADRID YAPANGA KUIBOMOA CHELSEA

379
0
SHARE

REAL Madrid wamepanga kuibomoa Chelsea kwa kuwanyakua Wabelgiji wawii wa klabu hiyo, Eden Hazard na mlinda mlango, Thibaut Courtois.

Huu ni mpango wa Rais wa Madrid, Florentino Perez, kuijenga upya klabu hiyo inayotajwa kuwa tayari kuuza baadhi ya nyota wao mwishoni mwa msimu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here