SHARE

WACHEZAJI wa Simba siku ya jana wataikum- buka daima, licha ya kuchapwa mabao 2-0 na Watani wao wa jadi Yanga, lakini pia kipigo hi- cho kimepeperusha mamilioni ya fedha za aha- di walizoahidiwa kupewa kama wangeshinda mchezo huo.

Habari za uhakika zilizolifikia DIMBA zilibaini- sha kwamba, baadhi ya viongozi na marafiki wa klabu hiyo waliahidi kumzawadia kila mchezaji kitita cha shilingi milioni moja endapo wangeshinda mchezo huo kwa idadi yoyote ya mabao.

Hata hivyo, baada ya matokeo hayo kila mwa- nachama alitokea njia yake uwanjani hapo na kufanya ahadi hiyo iote mbawa. Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto aliwatu- liza wenzake kufuatia kipigo hicho na kudai kwamba walicheza vizuri na kuwa watafanya vi- zuri katika mechi zijazo za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inayoendelea

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here