Home Michezo kitaifa MANISPAA TANGA YAMWAHIDI SAPOTI ABDI BANDAA

MANISPAA TANGA YAMWAHIDI SAPOTI ABDI BANDAA

8494
0
SHARE

NA OSCAR ASSENGA, TANGA


NYOTA ya beki wa kimataifa wa Tanzania anayechezea soka la kulipwa katika  klabu ya Baroka FC ya Afrika Kusini, Abdi Banda, imeendelea kung’ara baada ya Halmashauri ya Jiji la Tanga kuahidi kumsapoti atakapotaka kuanzisha kituo cha soka.

Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga, Mustapha Selebosi, ameliambia DIMBA Jumatano kwamba, muda wowote Banda atakapotaka kuanzisha kituo cha michezo wako tayari kumpa sapoti ili kutimiza ndoto za Mkoa wa Tanga kuwa sehemu ya kuibua vipaji nchini.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here