Home Dondoo za Ulaya MASCHERANO AAGA BARCELONA

MASCHERANO AAGA BARCELONA

556
0
SHARE

BEKI wa klabu ya Barcelona, Javier Mascherano, amesisitiza kuwa, lazima aondoke wakati wa Januari, mwakani, ili kuweza kubadilisha mazingira. Kwa mujibu wa Sport, mchezaji huyo anawindwa na klabu mbalimbali za Ligi Kuu nchini Marekani.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here