Home Dondoo za Ulaya MASCHERANO AINGIA KATIKA RADA ZA PSG

MASCHERANO AINGIA KATIKA RADA ZA PSG

526
0
SHARE

WABABE wa Ligue 1, PSG, wamemuweka kwenye rada zao, beki wa Barcelona, Javier Mascherano.

PSG wanaamini uzoefu wa Mascherano utawasaidia kwenye michuano ya Ulaya, hivyo wanataka kuona kama kuna uwezekano wa kumng’oa, Camp Nou.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here