Home Habari Mgosi: Mwamuzi katuua

Mgosi: Mwamuzi katuua

770
0
SHARE

MSHAMBULIAJI mkongwe na Nahodha wa Simba, Mussa Hassan Mgosi, alimemlalamikia mwamuzi wa mchezo wao dhidi ya Yanga, Isra- el Mujuni Nkongo kwamba alikuwa akiwauma kwa kutoa maamuzi yaliyoegemea upande wa Yanga.

Akizungumza baada ya kumalizika kwa mchezo huo, Mgosi alisema kuwa Nkongo ali- kuwa akifanya maamuzi ya utata yaliyosababi- sha kuvunjika moyo.

“Mwamuzi alikuwa upande wa Yanga kwani alikuwa akifanya maamuzi ambayo wakati mwingine yalikuwa yakituvunja moyo, ila tunajipanga kwa mchezo ujao wa ligi kwani bado mechi zipo nyingi,” alisema Mgosi.

Mgosi ambaye ni nyota wa zamani wa Mtibwa Sugar ya Morogoro, aliiongoza Simba kwenye mchezo huo wa jana ambao Yanga wakiwa ugenini waliibuka na ushindi wa ma- bao 2-0.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here