SHARE

NA MAREGESI NYAMAKA

MNAMIBIA wa Yanga, Sadney Khoetage Urikhob ambaye ameshindwa kuripoti kwa wakati kutokana na kuwa na matatizo ya kifamilia, kesho anatarajiwa kuungana na wenzake kambini.

Akizungumza na Dimba kutoka Morogoro walikoweka kambi, mratibu wa Yanga, Hafidh Saleh, alisema taarifa alizonazo ni kwamba straika huyo atawasili kesho baada ya kumaliza matatizo yake. 

“Kama viongozi wa juu walivyosema, jamaa alikuwa na …

Kwa habari zaidi jipatie nakala ya gazeti la DIMBA.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here