Home Dondoo za Ulaya MORATA: NIKO TAYARI KUREJEA MADRID

MORATA: NIKO TAYARI KUREJEA MADRID

960
0
SHARE

STRAIKA Alvaro Morata (25), amesema atakuwa tayari kurejea tena Real Madrid, kama mabingwa hao wa Ulaya, watakuwa tayari kumsajili.

Morata aliuzwa na Madrid, kwenda Chelsea, miezi minne iliyopita, lakini straika huyo wa Kihispania, amekiri kuwa atakuwa tayari kupokea ofa hiyo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here