SHARE

MANCHESTER United wanafikiria kuachana na Antoine Griezmann (25) na kuelekeza nguvu zao kwa kinda wa Monaco, Kylian Mbappe (18).

Mpango huu umekuja baada ya kuona dau la straika huyo wa Atletico Madrid likipanda kila siku, hivyo kutega ndoano kwa Mbappe mwenye thamani ya pauni milioni 40.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here