Home Dondoo za Ulaya MOURINHO AMLILIA PEREIRA

MOURINHO AMLILIA PEREIRA

490
0
SHARE

JOSE Mourinho amesikitishwa mno na maamuzi ya kinda Andreas Pereira, ya kuondoka kwa mkopo United na kwenda Valencia.

Kocha huyu wa United anaamini Pereira angefanya makubwa msimu huu kama angeamua kubaki Old Trafford na kupambania nafasi yake.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here