Home Dondoo za Ulaya MOURINHO AMUWEKA LUKE SHAW SOKONI

MOURINHO AMUWEKA LUKE SHAW SOKONI

890
0
SHARE

MANCHESTER United wako tayari kumpiga bei, Luke Shaw, katika majira ya baridi, endapo watapokea ofa kuanzia pauni milioni 20.

Kocha wa United, Jose Mourinho, anaamini kuwa wakati wa usajili wa dirisha dogo, Januari mwakani ndio wakati sahihi wa kumuuza beki huyo ili kupata fedha za kutosha za kusajili mlinzi mwingine.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here