SHARE
Diego Godin

JOSE Mourinho ameanza upya mipango ya kutaka kuisuka safu yake ya ulinzi kwa kuihitaji saini ya beki wa Atletico Madrid, Diego Godin.

Mourinho amepanga kumsajili beki huyo katika dirisha dogo la usajili, Januari mwakani kwa kuvunja mkataba wake unaogharimu kiasi cha pauni mil 30.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here