Home Habari MRITHI WA SHAW BEI YAKE BALAA

MRITHI WA SHAW BEI YAKE BALAA

664
0
SHARE

MANCHESTER United watalazimika kulipa pauni mil 53 ya kuvunja mkataba wa beki wa kushoto wa Napoli, Faouzi Ghoulam (23).

Napoli tayari wameanza mazungumzo na beki wa Benfica, Alejandro Grimaldo, kama mrithi wa Ghoulam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here