Home Dondoo za Ulaya Mwisho wa Ronaldo Madrid haujulikani

Mwisho wa Ronaldo Madrid haujulikani

455
0
SHARE

STAA wa Klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo, ambaye alisaini mkataba mpya utakaomweka kwenye kikosi hicho hadi mwaka 2021, hautakuwa wa mwisho kwake na kwa inavyoonekana, mwisho wake wa kukitumikia kikosi hicho hautajulikana kwa urahisi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here